Kongamano la kujadili masuala ya vijana lafanyika Voi

  • | K24 Video
    53 views

    Vijana katika kaunti ya Taita Taveta wamefanya kikao cha siku moja kuzungumzia masuala mbali mbali yanayowazunguka vijana. Katika kikao hicho kilicho hudhuriwa na vijana kutoka sehemu zote za Voi walizungumzia athari za dawa za kulevywa pamoja na mbinu za kujikinga kutokana na msongo wa mawazo miongoni mwa masuala mengine yanayowaathiri pakubwa vijana.