Kongamano la Mabadiliko ya Hali ya Hewa COP28 kuanza rasmi Alhamisi Dubai

  • | VOA Swahili
    3,071 views
    Kongamano la kila mwaka la Umoja wa Mataifa la mabadiliko ya hali ya hewa COP28 kuanza rasmi hapo kesho mjini Dubai. Kasa kiumbe wa baharini anakabiliwa na tishio la kuangamia... Endelea kusikiliza Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari