Kongamano la mabadiliko ya tabianchi lafanyika Nakuru

  • | Citizen TV
    49 views

    Serikali za kaunti ya Nakuru,Baringo na Narok kwa ushirikiano na farming system Kenya zinazindua mikakati ya ushirikiano katika ukulima na upanzi wa miti kama njia moja ya kudhibithi mabadiiko ya tabianchi.