Kongamano la mashirika tofauti lafanyika Nairobi

  • | K24 Video
    28 views

    Waziri wa usalama wa ndani profesa Kithure Kindiki ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuingilia vita dhidi ya dawa za kulevya barani afrika. Hayo yanajiri, wakati ambapo umoja wa mataifa umedokeza ongezeko la utumizi wa dawa za kulevya afrika hasa baada ya janga la korona. Haya yamesemwa leo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 30 wa wakuu wa mashirika ya kitaifa ya kusimamia sheria za dawa za kulevya barani afrika jijini Nairobi.