Kongamano la pili la kitaifa kuhusu saratani laandaliwa Nairobi

  • | KBC Video
    10 views

    Wakenya wamehimizwa kukumbatia desturi ya uchunguzi wa mapema wa saratani ili kufanikisha matibabu. Takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70 ya visa vya saratani nchini Kenya hugunduliwa katika hatua za mwisho, jambo ambalo limehusishwa na hofu ya unyanyapaa na ukosefu wa ufahamu kuhusu umuhimu wa uchunguzi wa mapema. Wakati wa kongamano la pili la kitaifa kuhusu saratani lililoandaliwa Nairobi, waathiriwa wa saratani waliouzungumza na KBC walisisitiza haja ya uchunguzi wa mapema na uhamaisho kwa umma ili kuepusha unyanyapaa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive