Kongamano la saba la mazingira la umoja wa mataifa, UNEA-7, limeanza rasmi jijini Nairobi. Kongamano hilo limeleta pamoja mawaziri wa mazingira kutoka maeneo yote ya dunia kushiriki mazungumzo kuhusu masuala yanayoathiri mazingira.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya