Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la siku 2 la maendeleo ya Afrika limefikia kilele Nairobi

  • | BBC Swahili
    10,998 views
    Duration: 1:28
    Kongamano la siku 2 la maendeleo ya Afrika lililianfakiwa jijini Nairobi Kenya limefikia kilele huku Ufaransa na Afrika zikikubaliana kuwekeza dola bilioni 25 za Marekani kwa miradi ya nishati,teknolojia ya kisasa na ukuwaji wa uchumi. Afrima inalenga kutumia fursa hii kuongeza mapato ya kifedha kutoka kwa raslimali zake pamoja na kupata mikopo kwa urahisi kutoka kwa Ulaya @ahmedbahajjofficial anataarifa zaidi 🎥: Brian Mala #bbcswahili #kenya #uchumi #teknolojia #ufaransa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw