Kongamano la Teknolojia Afrika: Wajumbe kutoka bara Afrika kukutana Nairobi

  • | KBC Video
    54 views

    Kongamano la kiteknolojia la Connected Africa mwaka huu litatoa fursa ya kubuni mwelekeo wa uwezeshaji na uunganishaji bara la Afrika kidijitali. Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali, Eliud Owalo amesema kongamano hilo pia litatoa jukwaa kwa wabuni sera kujadiliana kuhusu uwianishaji wa sera kuhusu teknolojia ya mawasilano barani Afrika. Na jinsi ripota wetu Trevor Ng’endo anavyotuarifu, teknolojia na mitindo mipya katika sekta ya teknolojia ya mawasiliano pia itajadiliwa wakati wa kongamano hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News