Kongamano la Udhabiti

  • | Citizen TV
    99 views

    Kongamano la Mamlaka za udhabiti na mashirika ya serikali linaendelea katika kaunti ya Uasin Gishu. Viongozi serikalini sasa wanakiri kuwa kuna baadhi ya mashirika na mamlaka za udhabiti ambazo hazifanyi kazi ipasavyo ,hivyo basi kuna haja kila mmoja serikalini kuhakikisha wanafanyakazi na kuwashughulikia wakenya inavyo hitajika kisheria.