Kongamano la ugatuzi linakamilika baada ya siku nne

  • | Citizen TV
    38 views

    Kongamano la ugatuzi linakamilika hii leo katika kaunti ya Homa Bay ambapo naibu rais Profesa Kithure Kindiki anatarajiwa kufunga kikao hicho ambacho kimeendelea kwa siku nne