15 Aug 2025 7:26 am | Citizen TV 175 views Duration: 4:36 Kongamano la ugatuzi linakamilika hii leo katika kaunti ya Homa Bay ambapo naibu rais Profesa Kithure Kindiki anatarajiwa kufunga kikao hicho ambacho kimeendelea kwa siku nne