Kongamano la ugatuzi yakamilika baada ya siku nne

  • | Citizen TV
    577 views

    Kongamano la ugatuzi linakamilika hii leo katika kaunti ya Homa Bay ambapo naibu rais Profesa Kithure Kindiki anatarajiwa kufunga kikao hicho ambacho kimeendelea kwa siku nne. Magavana walikongamna Homa Bay kuzungumzia mafanikio na changamoto katika sekta za uchumi, miundomsingi, biashara na afya kwenye serikali za ugatuzi. suala la ufisadi na lilijitokeza sana kwenye kikao hicho, kando na hitaji la kuongeza mgao wa fedha za kaunti