Kongamano la UN Habitat I Mataifa kutoa kipaumbele nyumba za bei nafuu

  • | KBC Video
    19 views

    Kongamano la pili la shirika la makao la umoja wa mataifa la Habitat umeafikia azimio la kihistoria kuhusu nyumba za bei nafuu kwa wote.Mataifa wanachama yalikubaliana kutoa kipaumbele kwa sawala hilo la nyumba yakisema kuwa ni haki ya binadamu kuwa na makazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #unhabitat #dirayamagwiji