Kongamano la usalama laandaliwa Nairobi huku Kenya ikijiandaa kutuma walinda usalama nchini Haiti

  • | KBC Video
    61 views

    Rais William Ruto amesisitiza haja ya kuimarishwa kwa mafunzo na kuongezwa ujuzi wa maafisa wa kulinda amani katika ngazi ya kikanda. Rais aidha ameleezea ari ya Kenya kusalia kuwa kitovu cha kuendeleza mikakati ya kulinda usalama wa kimataifa. Anavyoripoti Joseph Wakhungu Rais Ruto anasema azma hiyo itafanikishwa kupitia hatua ya Kenya kuongoza kikosi cha walinda usalama watakaotumwa nchini Haiti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive