Kongamano la walimu wakuu kujadili jinsi ya kuimarisha matokeo ya KCSE.

  • | West TV
    18 views
    Baadhi ya shule za upili katika eneo bunge la butula kaunti ya busia zitaanza kutumiwa kama vituo vya teknolojia ya habari na mawasiliano (ict) katika eneo bunge hilo haya yameibuka katika kongamano la walimu wakuu wa shule za upili kutoka eneo bunge la butula ambao kwa sasa wanakongamana kujadili mbinu za kuimarisha matokeo ya kcse katika eneo bunge hilo.