Kongamano la wataalamu wa mifugo laendelea Isiolo

  • | Citizen TV
    108 views

    Kongamano la wataalamu wa Mifugo limeingia siku ya pili katika kaunti ya Isiolo. kongamano hilo limewajumuisha wataalamu wa humu nchini pamoja na wenzao kutoka Uingereza na marekani ili kujadili changamoto na hatua zilizopigwa katika sekta hiyo.