18 Aug 2025 1:33 pm | Citizen TV 485 views Duration: 1:43 Katika juhudi za kupambana na ongezeko la visa vya itikadi kali na dhulma za kijinsia katika kaunti ya Kilifi, wanawake wa kidini wameanzisha muungano unaoleta pamoja dini mbali mbali ili kuhamasisha jamii.