Konokono waharibu mpunga huko Mwea katika kaunti ya Kirinyaga

  • | Citizen TV
    290 views

    Serikali Kuu kupitia kwa wizara ya kilimo wamezidua mpango wa kunyunyizia wadudu aina ya konokono wanaoleta hasara kubwa kwa ukulima wa mpunga eneo la Mwea Kaunti ya Kirinyaga