Koome, Kindiki washtakiwa kwenye mahakama ya EAC

  • | KBC Video
    154 views

    Maafisa wakuu wa serikali akiwemo aliyekuwa Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome na waziri wa usalama wa kitaifa Kithure Kindiki wamepewa muda wa siku 45 kujibu mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwenye mahakama ya Afrika Mashariki kufuatia maandamano ya miezi miwili ya vijana almaarufu GEN Z. Wakiongea baada ya kuwasilisha kesi hiyo mahakamani, viongozi wa vuguvugu la Bunge la Mwananchi walieleza imani kwamba waathiriwa wa ukatili wa polisi pamoja na watu waliolazimishwa kuhama kufuatia mafuriko yaliyokumba maeneo mbalimbali humu nchini watapata haki kutoka mahakama hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive