Koome: Sing'atuki Ng'o! | Shinikizo zatolewa kwa jaji mkuu kujiuzulu

  • | Citizen TV
    3,597 views

    Jaji Mkuu Martha Koome sasa anasema habanduki kwenye wadhfa wake , licha ya shinikizo za kumtaka aondoke pamoja na majaji wote wa mahakama ya upeo. Koome anasema muhula wake wa kuhudumu unalindwa na katiba