Koskei: polisi wanaishi maisha ambayo hawawezi kumudu.

  • | Citizen TV
    605 views

    Wakati huo huo, mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei amesema kuwa amaafisa wa polisi wanabanzwa na mikopo kiasi cha kwamba asilimia themanini na sita ya mishahara yao inalipia mikopo na kuwaacha bila pesa za kuweza kujikimu. Hali hiyo inakisiwa kuwa sababu kuu ya polisi kujihusisha na ufisadi. Koskei amewaonya maafisa wanaowaharibia wenzao akisema kuwa watachukuliwa hatua