- 164 viewsDuration: 1:00Timu ya Shabana fc imemtimua kocha Peter Okidi siku mbili tu baada ya kupoteza mechi yao ya pili mfululizo kwenye ligi kuu nchii. Okidi ni kocha wa pili kufutwa kazi baada ya Ulinzi stars pia kumtimua Stephen Ocholla hapojana baada ya matokeo mabaya.