KRA inafutilia mbali takriban shilingi bilioni 13 za faini zinazotozwa wale ambao hawajalipa ushuru

  • | KBC Video
    299 views

    Halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini inafutilia mbali takriban shilingi bilioni 13 za faini zinazotozwa wale ambao hawajalipa ushuru kote nchini kwenye kampeni inayoendelea ya kuwapa msamaha. Juhudi hizi zinakusudiwa kusaidia kuhakikisha kila mlipa ushuru anasasisha rekodi zao za ushuru bila kuhofu kuadhibiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive