KRA yadhamiria kukusanya shilingi bilioni-50 kama ushuru

  • | KBC Video
    146 views

    Halmashauri ya ukusanyaji ushuru-KRA inadhamiria kukusanya shilingi bilioni-50 kama ushuru kufikia mwishoni mwa kipindi cha msamaha kwa walipa ushuru ambacho kitafikia tamati tarehe-30 mwezi huu. Halmashauri hiyo sasa inatoa wito kwa wanaokwepa kulipa ushuru kutumia fursa hiyo ya msamaha kulainisha rekodi zao za malipo.

    Kipindi hicho kitakamilika tarehe-30 mwezi huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive