Skip to main content
Skip to main content

KRU kujenga upya Simbas baada ya kukosa kufuzu Kombe la Dunia

  • | Citizen TV
    198 views
    Duration: 1:12
    Baada ya kutofuzu kwa Kombe la Dunia la mchezo wa raga mwaka 2027, Chama cha Raga Nchini (KRU) kimetangaza mikakati ya kujenga upya timu ya taifa ya wachezaji 15 kila upande, The Simbas, kwa kutumia wachezaji wa timu ya chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 walioshinda Kombe la Barthés nchini Uganda mapema juma hili.