KTDA na Global Alliance zazindua mradi wa kuwasaidia wakulima

  • | Citizen TV
    Mamlaka ya majani chai ya KTDA kwa ushirikiano na muungano wa Global Alliance imezindua mpango wa kuimarisha lishe bora kwa wakulima wadogo wa chai. Hafla ya uzinduzi wa mpango huo inaendelea mjini Kericho.