Kuachiwa kwa aliyemuua Chris Hani kwaibua madai ya ukosefu wa usawa

  • | VOA Swahili
    395 views
    Maoni mbalimbali yaibuka baada ya Janusz Walus aliyemuua mwananchi wa Afrika Kusini, ambaye alikuwa kiongozi wa vuguvugu la kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo, Chris Hani. Walus alikuwa ametumikia tayari takriban miaka 30 ya kifungo chake cha maisha na hivi leo ameachiliwa huru kwa masharti magumu. Wananchi wamejitokeza kupinga uamuzi huo wa mahakama na kumeibua madai ya kukosekana usawa. Endelea kusikiliza ripoti kamili... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.