Kuagizwa kwa sukari kutoka mataifa ya nje, imeathiri ukuaji wa viwanda vya sukari humu nchini

  • | West TV
    33 views
    Imebainika kuwa kuagizwa kwa sukari kutoka mataifa ya nje kumeathiri pakubwa uendeshwaji wa viwanda vya sukari nchini huku serikali ikitakiwa kuingilia kati kuangazia swala hilo