Kuanzishwa kwa nishati ya jua DRC

  • | BBC Swahili
    327 views
    COP28, inayofanyika sasa huko Dubai, karibu nchi 100 zimeahidi kutumia mara tatu ya matumizi ya nishati mbadala ifikapo mwaka 2030, na kupata ufadhili wa kufanikisha hilo imekuwa moja ya mada kuu katika mkutano wa mwaka huu. Mashariki mwa DRC kampuni moja imefanikiwa kuunganisha maelfu ya watu na gridi ndogo zinazotumia nishati ya jua. #bbcswahili #DRC #nishati Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw