Kuchelewa kwa mgao wa pesa shuleni umeleta changamoto nyingi sanaa: James Nyaga

  • | TV 47
    19 views

    James Nyaga: “Kuchelewa kwa mgao wa pesa shuleni umeleta changamoto nyingi sanaa, walimu wanaotegemea shule hawajalipwa mpaka sasa, shule zingine zimelazimika kuchukua mikopo kwenye benki, wengine mabasi yao yamechotwa na kampuni zile za mikopo, wengine hata wale suppliers wamewapeleka mpaka Kortini.”

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __