Kudhibiti korona katika magari ya uchukuzi

  • | TV 47
    Zoezi la kunyunyizia magari ya uchukuzi wa umma dawa ya kudhibiti korona limekamilika katika eneo la Thika, zaidi ya magari elfu moja yamenyunyiziwa dawa hiyo.