Kuelekea mazishi ya Mtanzania aliyeshikiliwa na Hamas

  • | BBC Swahili
    1,783 views
    Mwili wa marehemu Clemence Mtenga, Mtanzania aliyechukuliwa mateka na Hamas unatarajiwa kuzikwa leo hii mkoani Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania. #bbcswahili tanzania #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw