Kuelekea Uchaguzi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo

  • | BBC Swahili
    809 views
    Zimesalia siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Raia wanajitayarisha vipi kwa ajili ya uchaguzi? Na wana matarajio gani kuhusu viongozi wao. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds akiwa nchini humo ameongea na raia wake na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #drcongo #uchaguzidrc2023 #uchaguzi #uongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw