Kuendeleza vita dhidi ya UKIMWI katika eneo la Magharibi

  • | West TV
    8 views
    Wakazi eneo la Magharibi mwa Kenya wamehimizwa kuwa waangalifu na kushirikiana katika juhudi za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya UKIMWI, dhulma za kijinsia na mimba za mapema visa ambavyo vimeonekana kuongezeka eneo hili.