Kufuatia shambulizi kwa mpelelezi maarufu Jane Mugo amejitokeza akidai maisha yake yapo hatarini

  • | K24 Video
    Mpelelezi wa kibinafsi jane mugo amehusisha kutekwa nyara kwake na kesi moja anayochunguza inayomhusisha afisa wa polisi kaunti ya busia na azimio lake pia la kuwa mwanasiasa .mugo aliyepata majeraha mikononi sasa anahofia maisha yake yamo hatarini na ameitaka afisi ya dci kuangazia tukio hilo na kumhakikishia usalama wake