- 22,053 viewsDuration: 3:24Zoezi la kuhesabu kura linaendelea kwa sasa katika taifa jirani la Uganda, baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa. Uchaguzi huo umekumbwa na changamoto baada ya mitambo ya kuthibitisha wapiga kura kufeli katika vituo kadhaa vya kupigia kura. Ni hali iliyolazimu maafisa wa Tume ya Uchaguzi kutumia sajili ya wapiga kura kama njia mbadala