30 Aug 2025 7:35 pm | Citizen TV 2,055 views Duration: 3:58 Kuimarika kwa usalama kaunti ya Lamu kumefufua biashara na uwekezaji kaunti hiyo. Hali hiyo imepiga jeki sekta za kilimo, uvuvi, uchukuzi, viwanda na utalii na kuwafaidi wakazi kwa mapato