- 164,129 viewsDuration: 2:17Kauli ya Rais Donald Trump kuwa angependa “kuchukua mafuta ya Iran” Imeibua hofu ya kudorora zaidi kwa hali ya usalama katika ghuba ya uajemi hususan baada ya Iran kutangaza itawateketeza Lakini je, matamshi ya Trump yanaweza kuwa kitakuwa kitovu cha vita vipya au mwanzo wa mgogoro wa nishati duniani. @mariammjahid na taarifa zaidi: #bbcswahili #marekani #mafuta #foryou #iran #trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw