Kumbukumbu la shamulizi la Westgate

  • | K24 Video
    51 views

    Makovu ya shambulizi la Westgate yatasalia kumbukumbu kwa wengi, miaka 10 baadaye kwa baadhi ni kama jana! Dkt. Farooq chaundhry aliongoza kikosi cha St. Johns Ambulance kipindi hicho kuokoa maisha ya waaliokwama ndani ya jumba hilo licha ya taharuki iliyokuwepo.