Kumbukumbu za miaka 30 ya mauaji ya halaiki Rwanda

  • | Citizen TV
    1,164 views

    Ni miaka 30 tangu mauaji ya halaiki kufanyika nchini Rwanda. Kipindi cha Ukumbusho wa mauaji hayo ya mwaka 1994 kitaanza hapo kesho na kuendelea kwa siku 100 kuashiria siku mia moja za mauaji ya kinyama yaliyotokea nchini humo. Viongozi wa mataifa mbalimbali wanahudhuria kongamano la maadhimisho ya miaka 30 tangu mauaji hayo,Naibu Rais Rigathi Gachagua akimwakilisha Rais William Ruto. Ben Kirui yuko Kigali, Rwanda na ametuandalia taarifa hii.