Kumekuwa na hofu miongoni mwa wakaazi loboingare eneo la Samburu

  • | Citizen TV
    297 views

    Hofu imetanda katika kijiji Cha Loboingare Samburu magharibi, kufuatia uvamizi wa punde wa jaribio la wizi wa mifugo katika boma la katibu wa zamani Dkt Richard Lesiyampe . Boma hilo hutumika na wakaazi wengi kutoa hifadhi Kwa mifugo ya wakazi wa kijiji hicho usiku kucha kwa hofu ya usalama. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.