Kumekuwa na minung'uno kuhusu siasa za miaka ijayo

  • | Citizen TV
    3,653 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amewataka viongozi wa Kenya Kwanza kusitisha mazungumzo kuhusu ni nani atakaye mrithi Rais William Ruto atakapostaafu akisema nguvu zote zinafaa kulenga maendeleo. Matamshi yake yakijiri huku ikiwa bayana kuwa kuna msukosuko mlima kenya kuhusu ubabe wa kisiasa baada ya kundi la viongozi kutoka Murang'a kumpendekeza mbunge wa kiharu ndindi nyoro kwa safari ya ikulu