Kuna hatua tumepiga kupitia serikali za ugatuzi. Ingawa si kamilifu ni lazima tutoe heko -Kidi Mwaga

  • | TV 47
    13 views

    "Kuna hatua tumepiga kupitia serikali za ugatuzi. Ingawa si kamilifu, ni lazima tutoe heko. Kuanzia barabara, hospitali hadi shule. Hata hivyo, bado kuna mengi tunapaswa kufanya, kama kuhakikisha ushirikishwaji wa umma." - Kidi Mwaga, Mwenyekiti, Interparties Forum

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __