Kuna hofu kuhusu kuathirika kufunguliwa kwa shule

  • | Citizen TV
    1,174 views

    Haya yakijiri, huenda mafuriko yanayozidi kushuhudiwa kote nchini yakaathiri shughuli za masomo, shule zinapotarajiwa kwa muhula wa pili juma lijalo. Hii ni kwa kuwa, baadhi ya shule zinatumika kama hifadhi za familia zilizoathirika na mafuriko.