Kuna hofu kuhusu kuchipuka kwa magenge ya uhalifu

  • | Citizen TV
    4,482 views

    Hofu imeibuka kuhusu kuchipuka upya kwa magenge ya uhalifu nchini huku sasa Naibu Rais Rigathi Gachagua akiamuru oparesheni kuanzishwa dhiidi ya wanachama wa kundi la mungiki maeneo ya mlima kenya. Haya yanajiri huku washukiwa watano wakikamatwa kaunti ya mombasa kwa tuhuma za kushiriki magenge haramu.