‘Kuna siku mwanangu aliniuliza Mama kwanini kwetu viziwi ni wengi?’

  • | BBC Swahili
    325 views
    Ni mama wa @Khadija_Kanyama ambaye kwa sasa ndiye Miss Deaf International, anasimulia aliyopitia katika kulea watoto wenye ulemavu ikizingatiwa kwamba jumla ya watoto wake sita wanaulemavu wa kusikia. Mwandishi wa BBC @frankmavura amemtembelea Mama wa Khadija jijini Tanga na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #tanga