Kunani katika "Nation Shopping Festival"? huko KICC

  • | NTV Video
    457 views

    Shirika la Amref flying doctors linalofanya kazi katika kuboresha huduma za afya na kuwasaidia watu katika hali za dharura nchini lilianzisha Mpango wa uokozi kwa wagonjwa wa dharura 2011 ,,,, mpango ambao unalenga kutoa huduma za haraka kwa watu wanaohitaji msaada wa afya mara moja, hasa katika maeneo yenye changamoto za kiafya au ukosefu wa miundombinu. Fridah mwaka yupo katika jumba la mikutano ya kimataifa KICC katika maonyesho ya biashara Maarufu " Nation shopping Festival " ila sasa anatupa taswira ya mwigo wa uokozi chini ya mpango wa Amref flying doctors. fridah, umefly pia wewe?

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya