Kundi la kibinafsi kutoka Embu lalaghaiwa laki moja

  • | KBC Video
    64 views

    Kundi moja la kibinafsi la kuwasaidia watu walio na ulemavu kwenye eneo bunge la Runyenjes, kaunti ya Embu linadai kuna njama ya ulaghai baada ya kupoteza shilingi laki moja kwa njia tatanishi kutoka kwa akaunti ya benki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive