Kundi la madaktari wa marekani latoa huduma za matibabu ya bure kwa wakaazi wa kaunti ya Uasin Gishu

  • | Citizen TV
    116 views

    Kundi la Madaktari kutoka Marekani leo linatoa huduma za matibabu ya bure kwa wakaazi wa eneo la Burnt Forest kaunti ya Uasin Gishu. Wangonjwa 200 wanaohitaji upasuaji mbalimbali pia watapewa huduma hii bila malipo.