- 1,743 viewsDuration: 2:51Kundi la madaktari kwenye chama cha hospitali nchini wanasema walimuomba Rais William Ruto kuingilia kati mzozo wa Nairobi hospital. Madaktari hawa wakisema walitaka msaada wa Rais kwa nia safi kufuatia msukosuko uliokuwa ukishuhudiwa.